Ijumaa, Januari 10, 2014

MH. RAIS AJIUZULU MCHANA HUU


Fichu Tz imepata habari mpasuko sasa hivi kutoka nchini  Jamhuri ya Afrika ya kati kuwa Rais wa mpito katika Jamhuri ya Afrika ya Kati Michel Djotodia amejiuzulu. Taarifa zaidi zinakujia hivi punde. Taarifa kamili itakujia muda si mrefu.

0 comments:

Chapisha Maoni