Jumatano, Januari 01, 2014

JACQUELINE WOLPER ADAI YUKO TAYARI KUWA NA MABUZI 40 KULIKO KUUZA MADAWA YA KULEVYA

“Mh! Mwenzangu, bora uwe na mabuzi (wanaume wenye mkwanja) 40 kuliko kufanya biashara ya madawa ya kulevya. Nawaomba mastaa wenzangu wasikubali kubebeshwa madawa kwa kudanganywa eti na dola 30,000, kamwe haiwezi kubadili mfumo wa maisha yako.”

0 comments:

Chapisha Maoni