JENGO la JMC lenye ghorofa saba lililopo eneo la Kamata mtaa wa Kasanga Kariakoo jijini Dar linaungua moto muda huu! Vyombo mbalimbali vya usalama vipo eneo la tukio vikijaribu kupambana na moto huo ambao bado unaendelea kuteketeza mali zilizomo ndani ya jengo hilo.
0 comments:
Chapisha Maoni