Ijumaa, Septemba 06, 2013

MWANAUME JIFUNZE NJIA ZA KUVISHINDA VIKWAZO VYA MANAMKE ANAYEPENDA PESA NA ASIYETAKA KUKUPA PENZI

Wanawake ni watu wa vikwazo. Unachotaka wewe ni kimoja. Mchezo. Ila yeye atakuwekea vikwazo kibao kama vifuatavyo:

1.Niko kwenye period
2.Nina boyfriend / mume / mchumba
3.Ninaumwa(malaria/tumbo/kichwa/n.k.)
4.Mama yangu mgonjwa
5.Niko bize na kazi
6.Wiki hii nina test (kwa wanavyuo)
7.Mi sitaki mambo hayo, mpaka nimalize masomo nipate na kazi
6.Mi bado mdogo Sitaki!!
8.Nyumbani kwetu geti kali siwezi kutoka
9.Wewe sio mwanaume wa type yangu (mfupi sana/mweusi sana/mweupe sana/huna
Hela/n.k.)
10.Mi sitoki/siongei na watu nisiowajua (strangers)
11.Sijisikii kuwa na wewe / sikupendi!
na kadhalika

Je ni mara ngapi umekwamishwa na mojawapo ya vikwazo kama hivyo hapo juu?
Utajisikiaje nikikwambia kuwa vikwazo vya dizaini hiyo vingi ni geresha tu ... sio vikwazo kwa maana ya vikwazo bali ni fursa nzuri kwako kupata unachotaka?
Na bomba zaidi je unajua mbinu za kutumia ili kumfanya mwanamke asikupe kabisa vikwazo kama hivyo? Ukimtongoza mwanamke vibaya atakuwekea vikwazo vingi na hata kama
utampata atakuwa ashakuzungusha sana na kukupotezea muda na pesa.
 
JEE HUU NI UJINGA
Baadhi ya watu watakaosoma waraka huu watasonya na kusema, "Ovyo!" ....au "Mbona unaleta ujinga", n.k.
Naheshimu kauli zao, maana hizo ndio busara zao. Ila wengi ni wanawake hivyo hawajui umuhimu wa haya mafunzo.
Lakini huu sio ujinga. Nitakwambia ni kwa nini hivi punde. Pia wahenga walisema, "Raha ya ngoma uingie ucheze"
Nyosha mkono au tikisa kichwa kukubaliana nami kama unaelewa maumivu ya:
Ukiwa na mbinu za kuzuia vikwazo maisha yako yatakuwa rahisi zaidi.
*Kumuona msichana mzuri halafu akakupita na kupotea hivi hivi kwa sababu tu unaogopa umwingie vipi.
*Kukutana na msichana bikra halafu ukashindwa kumtongoza vizuri matokeo yake akaliwa na mhuni/fala mmoja hivi. Halafu baadae ndo anarudi kukutafuta wakati kitu ishachanwa.
*Kutembea na wanawake wabaya na wale wa kawaida tu kwa kuwa unaogopa
wanawake wazuri wenye mvuto wa kupindukia, unaishia kusema, "mali za wakubwa
hizo"!
*Kupoteza pesa na muda mwingi kumfukuzia mwanamke.
*Kumwambia msichana unampenda halafu akakuchunia akaacha hata kuongea na wewe.
*Kuishi ni fikra potofu kuwa "Wanawake wanachotaka ni mwanaume mwenye pesa na gari"
*Mwanamke kuja mpaka ndani kwako mkakaa wawili tu halafu akaondoka hivihivi japokuwa unamtaka.
*Kumfanyia mwanamke mambo mengi mazuri kumsaidia kwa kila hali wakati ana matatizo lakini mwisho wa siku bado asikupende ... tena cha ajabu anakuja
kumpenda mjamaa wa kawaida tu ambaye anamtesa na kumpiga mara kwa mara.
*Na mbaya zaidi je bado unapiga puchu? Je huwa unakuja kwenye mtandao wa
internet kucheck picha za ngono halafu unamaliza hamu kwa kupiga puchu?
Ukija kwenye darasa hili maumivu kama haya na mengineyo yatabaki kuwa historia kwenye maisha yako.
Na kama bado hayajakukuta basi utayakwepa kabisa.
Na mwisho wa siku utakuwa na confidence ya ajabu sana ambayo itakusaidia kwenye kila kitu maishani mwako, hususani kwenye suala zima la kutafuta pesa.
Kutafuta pesa kunafanana sana na kutongoza mwanamke. Inatakiwa ujue jinsi ya kumtongoza mwenye pesa akupatie pesa.
Very simple, lakini wengi hawajui na hawana confidence.

UJINGA KUTANGULIZA PESA KULIKO KAULI.
Unampa mwanamke ambaye hujalala naye pesa ili iweje?
Enheee...?!!! Hebu jiulize kwanza. Unampa hela ili iweje??? Ndo akupende? Au kwa sababu yeye ni wa maana kuliko wewe???!!! Hatuendi hivyo bro.
Acha ujinga! Mwanamke ukishamtangulizia pesa hawezi kukupenda hata siku moja. Atapenda pesa zako tu. Na atafanya kila njia kukucheleweshea mambo mpaka
akiona umeanza kukasirika ndo anakupa. Napo sio kwa moyo mmoja, bali tu ili uendelee kumpa pesa.

0 comments:

Chapisha Maoni