Jumatatu, Agosti 12, 2013

MAYA: MFUNGO UMENIBADILI MWENENDO



STAA wa sinema za Kibongo, Mayasa Mrisho ‘Maya’ amefunguka kuwa kipindi cha mfungo alichopitia kimemfanya abadili baadhi ya tabia alizokuwa nazo.

Aikizungumza na fichuotz.blogspot.com Maya ameweka bayana kuwa kabla ya mfungo alikuwa akipiga sana misele kwenye viwanja vya bata lakini sasa hata baada ya mwezi kuisha amekuwa mzito kwenda.
“Dah! Nimebadilika kiukweli, kwa sasa najiona nimekuwa mpya. Namuomba Mungu anisimamie niendeelee hivihivi,” alisema Maya.

0 comments:

Chapisha Maoni