Jumatatu, Machi 20, 2017

NCHI 20 ZENYE WATU WENYE FURAHA ZAIDI DUNIANI

Ripoti ya Viwango vya Furaha Duniani ya 2017 ambayo imetolewa leo ulimwengu ukijiandaa kuadhimisha Siku ya Furaha Duniani ya Umoja wa Mataifa ambayo huadhimishwa kila tarehe 20 Machi.
Orodha hiyo huaandaliwa kwa kuangazia pato la mtu kwa kila mwaka, miaka ambayo mtu anatarajiwa kuishi, kuwa na mtu wa kutegemea kwa usaidizi, dhana ya kuwepo uhuru wa kufanya maamuzi maishani, uhuru kutoka kwa ufisadi, na ukarimu miongoni mwa mengine.
Imetayarishwa na shirika la maendeleo endelevu, Sustainable Development Solutions Network (SDSN), ambalo lilianzishwa na Umoja wa Mataifa.

Orodha kamili:

1. Norway (7.537)

2. Denmark (7.522)

3. Iceland (7.504)

4. Uswizi (7.494)

5. Finland (7.469)

6. Uholanzi (7.377)

7. Canada (7.316)

8. New Zealand (7.314)

9. Australia (7.284)

10. Sweden (7.284)

11. Israel (7.213)

12. Costa Rica (7.079)

13. Austria (7.006)

14. Marekani (6.993)

15. Ireland (6.977)

16. Ujerumani (6.951)

17. Ubelgiji (6.891)

18. Luxembourg (6.863)

19. Uingereza (6.714)

20. Chile (6.652)

0 comments:

Chapisha Maoni