Jumatatu, Machi 20, 2017

MBUNGE SUGU AZUNGUMZA BAADA YA 'UVAMIZI' CLOUDS MEDIA

Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi, 'Sugu' ameungana na wanahabari kwenye kipindi hiki cha Sekeseke la Makonda kuvamia Clouds Fm. Sugu alifika kituoni hapo kutoa pole kwa uongozi wa Clouds Media Group na wadau wote wa habari nchini. 
"Hapa hujavamia Clouds, umevamia Industry. Umevamia uwekezaji. Mimi ni shuhuda wa uwekezaji wa #CloudsMediaGroup tangu wanaanza kwenye kachumba pale jengo la Kitega Uchumi. Walikuwa na kiti kimoja tunaenda kuhojiwa. Leo wameajiri masela kibao unataka kuwazima? Hawa masela wengine wana vifua vikubwa wakipoteza ajira watakuja kutukaba mtaani" 
Alisema Mbunge Sugu baada ya kufika hapo

0 comments:

Chapisha Maoni