Jumamosi, Machi 11, 2017

BASHE NA WENZAKE WAACHILIWA NA JESHI LA POLISI DODOMA

Wabunge wa chama cha mapinduzi, Hussein Bashe na Joseph Kashaku pamoja na Adam Malima wameachiwa na polisi.
Walitiwa mbaroni jana kwa tuhuma za kufanya vurugu na uchochezi katika vikao vya CCM vinavyoendelea Dodoma.

0 comments:

Chapisha Maoni