Shyrose
Bhanji kazua balaa kwenye Bunge la EAC huko Kigali jana na leo!
Walioandika trh 8 kwenda Brussels kwenye Bunge la EU members wote wa
Tume yao na Wenyeviti wa Kamati. Wakiwa safarini kwenda ndani ya ndege
sijuwi kukosa ile lishe aliyoizoea? Akawa anakunywa kama kichaa! Crews
wakamzuia kuwa kwakuwa ndege ni ya mchana asinywe kupitiliza. Akaanza
kutukana crews matusi yote unayoyajua!
Akawaambia
hawajuwi kama yeye ni mbunge wa EAC? Akaanza kufanya fujo ndani ya
ndege, akachukua chupa akapasua! Hapa security ndani ya ndege
wakamkamata na kumtia pingu! Maneno yakawa yanamtoka ovyo. Wenzie
walipojaribu kumtuliza wa kutoka Rwanda na mwingine Uganda (names
withheld) akawageukia, tukana hadi marais wao hya kutosha! Hapo walikuwa
juu ya anga ya Cairo.
Pilot akakataa kuendelea na safari akataka kushusha ndege Cairo. Walimsihi sana Pilot ndio akakubali kwa masharti Shyrose adhibitiwe!
Walipofika Brussels vituko havikuishia hapo. Kwenye mikutano anabwabwaja ovyo. Mbaya zaidi akaandika ki-note na kukiweka mgongoni ili walio row ya nyuma yake wakisome. Kiliandikwa kuhusu yule mbunge/Waziri wa EAC aliyefariki kuwa amekufa kwa UKIMWI, na kwa kuwa amelala na Wabunge wanawake wa EALA (kawaandika majina kwenye ki-note) nao wana UKIMWI kwa kuwa wanaumwa mara kwa mara.
Wakamaliza ziara ambayo hata Spika wa EALA alikuwepo, Wabunge toka Tz waliokuwepo pamoja na Shyrose ni Kimbisa na Angella Kizigha; kwa rekodi mbaya!
Sasa Bunge la EALA limeanza vikao juzi, jana Bunge limevunjika, hawataki kujadili Miswada wala nini hadi Shyrose ajadiliwe Bungeni kwa mambo ya aibu aliyoyafanya ktk ziara hiyo. Bunge likavunjika!

Leo asbh kulikuwa na kikao cha House
Business, ambacho kwa huku Bongo ni kama Kamati ya uongozi. Agenda ni
Shyrose na kuvunjika kwa Bunge jana. Kikao kimevunjika na Wajumbe wote
wamejiuzulu! Wanasema kwanini Spika hakumkemea Shyrose alipofanya ujinga
kwenye ndege? Kwanini hamuwajibishi kwa kumfukuza Bungeni ilhali anajua
sifa zote mbaya za Shyrose tangu ameingia EALA? Sasa hivi wote
wamejiuzulu na sasa si tu wanataka Shyrose afukuzwe bali na Spika
ajiuzulu mara moja!
Wajumbe wanadai walipojitoa na kujiuzulu, Spika peke yake hajajitoa, hivyo naye aende na maji! Yaani hakuna kinachoendelea, Wabunge wanasema Bunge halitaendelea wala kufanyika hata kwa miaka 10 ijayo hadi Shyrose na Spika waondoke!

Hii ni aibu
kubwa kwa nchi yetu! Kila Shyrose anapopita hukosi kusikia kapigana,
kagombana, katukana au kufanya mambo ya aibu! Hapo EALA kagombana na
watu wengi kuanzia Wabunge wenzie hadi staff.
0 comments:
Chapisha Maoni