Mfalme wa Muziki wa taarabu Nchini, Mzee Yusuf, anatarajia kuachia 
filamu yake ya kwanza mwezi huu itakayokwenda kwa jina la ‘Nitadumu 
naye’ ikiwa ni nyimbo iliyowahi kutamba  nayo mwaka 2006.
‘Nitadumu naye’ ambayo hadithi yake ameitunga mwenyewe, inatarajiwa 
kutikisa soko la filamu kutokana na ujumbe mzuri wenye mafundisho 
unaopatikana ndani yake.
Mbali na Mzee Yusuf, wasanii wengine walioshirikishwa ni pamoja na 
Ahmed Olotu ‘Mzee Chilo’, Sandra, Salha na Sania. Itasambazwa na Kampuni
 ya Proin Promotion ya jijini Dar es Salaam.




0 comments:
Chapisha Maoni