AFC WIMBLEDON 2-3 CHELSEA
John Terry kapiga bao mbili (ndio, bao mbili) na lingine la Mo Salah zimeifanya timu ya Jose Mourinho kutokeo nyuma kwa bao 2-0 mapumziko.

BOREHAM WOOD 0-2 ARSENAL
Ilikua 0-0 kufikia mapumziko, lakini Wenger alifanya mabadiliko ya mbinu na Arsenal kua bora dhidi ya wapinzani wao were. Makinda Olsson na Afobe ndio waliocheka na nyavu.
PRESTON 1-2 LIVERPOOL
Liverpool walikua 1-0 nyuma kufikia mapumziko. Kipindi cha pili 2-1 faida kwa Liverpool. Bao za Liver zilifungwa na Suso pamoja na Peterson.
Matokeo gani yamekufurahisha kati ya hayo.

0 comments:
Chapisha Maoni