Ijumaa, Julai 18, 2014

FIFA YAIFUTIA ADHABU NIGERIA

Fifa imeondoa adhabu ya kulifungia shirikisho la soka la Nigeria (NFF) baada ya mahakama kurejesha madarakani viongozi wa bodi ya shirikisho hilo. Adhabu hiyo ilitishia Nigeria kushirini michuano ya Kombe la Dunia ya wanawake chini ya umri wa miaka 20 itakayofanyika nchini Canada.
Fifa ilitoa adhabu hiyo kufuatia serikali kuingilia kati masuala ya NFF.

0 comments:

Chapisha Maoni