Hatimaye Taarifa zilizotufikia kutoka chanzo kimoja wapo cha Habari zinasema kua Mchungaji Daniel Mwasumbi wa kanisa la EAGT ameachiwa huru na Mahakama kuu baada ya awali kesi yake alihukumiwa kifungo cha Maisha Jela baada ya kuhukumiwa na mahakama kwa makosa yaliyotajwa kua ni ya Ubakaji.
kupitia kwenye account ya Facebook ya matoto wa mchungaji huyo,Gamaliel Mwasumbi ameandika ujumbe huu
kupitia kwenye account ya Facebook ya matoto wa mchungaji huyo,Gamaliel Mwasumbi ameandika ujumbe huu
Nichukue Muda Huu Kurudisha Shukrani zangu za Dhati, kwanza kwa MUNGU JEHOVAH muumba wa mbingu na Nchi kwa siku hii ya Leo ameirudisha FURAHA YANGU MAISHANI.
Niwashukuru Marafiki zangu wote waliohusika kwenye swala zima la Baba yangu Rev DANIEL MWASUMBI bila unafiki.Napenda kuwajulisha Mzee wangu Mtumishi wa MUNGU MWASUMBI MAHAKAMA KUU IMEMUACHIA HUKU KWA KESI YA UBAKAJI ALIYOkUWA AMEBAMBIKIZIWA NA BAADHI YA WACHUNGAJI WENZAKE NA MAASKOFU WA EAGT KWA MASLAHI BINAFSI.Ungana nami Kwa niaba ya familia ya Rev Daniel Mwasumbi kumshukuru JEHOVAH amefanya!
0 comments:
Chapisha Maoni