Jumamosi, Mei 03, 2014

AUNTY LULU ADAI YUKO TAYARI KUFANYA DHAMBI YOYOTE LAKINI SI USAGAJI

MSANII wa filamu Bongo, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ amefunguka kuwa yupo tayari kutenda dhambi zote lakini si ya usagaji.
Aunty Lulu alisema usagaji umekithiri kwa mastaa wa kike Bongo na ameshuhudia baadhi yao (hakuwataja majina) wakiwadekea wanawake wenzao ‘kimalovee’.
Hii ni aibu kwa mastaa wa kike, mimi nilishafuatwa na wengi sana wakinitaka nikafanye uchafu huo lakini nilikataa, dhambi za aina nyingine nitafanya lakini siyo hii ya usagaji
alisema Aunty Lulu.

0 comments:

Chapisha Maoni