Alhamisi, Aprili 24, 2014

BAADA YA MASWALI 7 YA JAJI WARIOBA, TUNDU LISSU APASUA JIPU

Mapya kutoka kwa Tundu Lissu, ni kama vile movie ya series, mwisho wake wake sijui utakuwaje...neno lake 'mwiba wa kalioni' bado anaendelea kulitumia, kalitumia tena baada ya Jaji Warioba kuhoji maswali mazito 7 soma alichokiandika katika page yake ya facebook hapa..
Maswali Saba (7 Questions) ya Jaji Warioba yaliyoorodheshwa kwenye Gazeti la Mwananchi la leo 24/04/2014 yanastahili majibu yenye hoja na sio Propaganda na Mihemko ya Kisiasa toka kwa hawa tunaowatazama ndani ya Uwanja wa mipasho Dodoma! Sio hilo tu, Maaskofu 32 wa Kanisa Katoliki nao wanazisubiri Kauli zenu, hata Waislam pia! Je, Chama Cha Waalimu Nchini?... Je, Taasisi ya Twaweza?... Je, UKAWA?...Serikali tatu zitawatoa povu, manaake ni Mwiba wa Kalioni huu! CHEZEA TANGANYIKA!

0 comments:

Chapisha Maoni