Alhamisi, Machi 13, 2014

JANJARUKA MWANAMKE...FANYA HAYA ILI MATITI YAKO YABAKI IMARA/YASIANGUKE

Hakikisha mpenzi wako anayanyonya akiwa ameshikilia au wewe umeyashikilia, vilevile hakikisha anapo yapapasa au kuyatomasa, basi afanye hivyo bila kuyahangaisha.... kwamba ahakikishe yametulia.
Unapokuwa kwenye mkao wowote unaosababisha matiti yako yasumbuke basi hakikisha mpenzi kayakamata sawa au kama wewe mwenyewe hujapoteza akili kwa raha basi yashikilie.... kwa kufanya hivyo kutasaidia matiti yako yasilegee kabla ya wakati.
Vaa sidiri za kubana matiti vizuri yapande kwa juu ila hakikisha unakua comfortable
Ni wazi kuwa matiti yanakwenda kulegea pale yatakapokuwa yanapoza homoni yaani mwamke kuzeeka lakini kuzaa au kuwa mdada mkubwa (over 40) isiwe sababu ya kujiachia.

0 comments:

Chapisha Maoni