Jumatatu, Februari 24, 2014

WAFANYA NGONO NDANI YA GARI MCHANA KWEUPE!

CHANZO cha habari kilieleza kuwa msichana huyo shida yake kubwa ilikuwa ni kupata kazi ya maana ndipo kibosile huyo alipojipatia fursa ya kumega penzi kiulaini baada ya kumuahidi mrembo huyo kwamba kazi ipo njenje.
Jamaa alizidi kumchanganya dada kwa kumwambia kwamba yeye ni Director katika kampuni kubwa..! Dadada alikubaliana na yote lakini inaonekana kama vile mrembo huyu alimuandaa mwenzie na Camera kabla ya tukio ili wakianza mambo ya watu wazima tu apige picha ya ushaidi ili endapo kama boss huyo atakiuka makubaliano hayo wamshushue. Basi kilichojiri ni kwamba penzi limetoka na kazi haikupatikana.

0 comments:

Chapisha Maoni