Jumatatu, Januari 11, 2016

RAIS MAGUFULI ATOA POLE KWA FAMILIA YA MWL. NYERERE

Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiagana na Mama Maria Nyerere, Mjane wa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, na wanafamilia alipokwenda nyumbani kwake Msasani kumfariji kufuatia kifo cha mkwe wake Marehemu Leticia Nyerere huko Maryland, Marekani.

0 comments:

Chapisha Maoni