Alhamisi, Septemba 04, 2014

MWANAMKE MWENYE KIUNO CHEMBAMBA ZAIDI DUNIANI

Kila kitu kilichopo katika kumbukumbu kubwa hapa duniani kimetokana na umashuhuri wake, kuna mambo yapo katika historia duniani yametokana na vituko, mengine yametokana na vitu serious kama hili ninalolileta kwako leo. Fichuo Tz inamtambulisha kwako Cathie Jung mwenye miaka 77 na ndiye mwanamke mwenye kiuno chembamba zaidi Duniani. Yumo miongoni mwa watu kwenye kitabu maarufu cha kumbukumbu za Guinness world Hakika hii inashangaza kimtindo.

0 comments:

Chapisha Maoni