Msanii wa Bongo Flava Meninah la Divah ametajwa kuwa katika mahusiano ya
kisirisiri na Diamond Platnumz inasemekana lakini eti taarifa hizo
zimevuja kupitia kwa marafiki wa karibu na Meninah wamedai kuwa wawili
hao walikutanishwa na moja kati ya ndugu wa Diamond na hivi karibuni
katika kipindi cha Tv anacho host Meninah eti Diamond aliwahi kumkataza
Meninah asishiriki kwa sababu atakutana na wanaume wengine lakini dada
wa diamond Queen Darlin ambaye pia yupo katika kipindi hiko cha Tv
akaahidi kumlinda wifi yake mwanzo mwisho ndio mzee akatoa ruhusa.




0 comments:
Chapisha Maoni