Treni lililobeba abiria zaidi ya 200 limepata ajali kwa kutereza
pembeni ya reli na kusababisha baadhi ya mabehewa kuwa nje ya reli.
Abiria waliokuwemo ndani ya treni hilo walilazimika kukimbilia upande wa
pili wa treni hilo ili kuepuka lisidondoke kwenye maporomoko.
Juhudi hizo zilisaidia na hakuna mtu aliyefariki kwenye hiyo ajali
lakini watu 11 walipata majeraha na watano kati yao kupata majeraha
makubwa.Ajali hii imetokea kwenye mlima ya nchini Uswisi.






0 comments:
Chapisha Maoni