Jumanne, Agosti 19, 2014

RATIBA YA SHOWS ZA MARIAH CAREY DUNIANI

Mwimbaji Mariah Carey ametangaza kuanza rasmi ziara yake ya kuizunguka dunia kwa lengo la kuitangaza album yake.
Ziara hiyo iliyopewa jina la ‘The Elusive Chanteuse Show’ itafunguliwa Tokyo, Japan, October 4 mwaka huu na kisha kupiga show nne nchini China kuanzia October 12 hadi 19 na kabla ya kuhamia Ufilipino October 28.
Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari, Mariah amesema wakati wa ziara hiyo ataperform nyimbo zake mpya na baadhi ya nyimbo zilizo kwenye LP yake mpya.
I want to experience the spontaneity and emotion that I put into this album on stage with my fans.
Amesema Mariah na kuongeza kuwa watu wasishangae akiperform nyimbo mpya kabisa alizoandika usiku mmoja kabla ya kupiga show.
Siwezi kusimama kuandika nyimbo kwa hiyo msiwe surprised kama mkisikia nyimbo mpya ambazo nimeandika usiku mmoja kabla ya kufanya show kwenye jiji lenu.
Hii ni ratiba ya awali, ratiba ya Marekani na sehemu nyingine za Ulaya itatoka wiki ijayo:

Oct. 4 - Tokyo, Japan - Makuhari Messe Arena

Oct. 6 - Yokohama, Japan - Yokohama Arena

Oct. 8 - Seoul, South Korea - Olympic Gymnasium

Oct. 10 - Beijing, China - Workers' Stadium

Oct. 12 - Chengdu, Sichuan, China - Chengdu Stadium

Oct. 15 - Chongqing, China - Olympic Center

Oct. 19 - Shanghai, China - Hongkou Stadium

Oct. 22 - Kuala Lumpur, Malaysia - Stadium Merdeka

Oct. 24 - Singapore - Singapore Indoor Stadium

Oct. 26 - Taipei, Taiwan - Taipei Nangang Exhibition Center

Oct. 28 - Manila, Philippines - Mall of Asia Arena

0 comments:

Chapisha Maoni