Jumatatu, Agosti 04, 2014

KIKWETE AKANA KUMUOKOA RIDHIWANI CHINA KATIKA SAKATA LA MADAWA YA KULEVYA

Rais Kikwete akiwa Marekani ameongea na watanzania na kukanusha madai kuwa alimuokoa mwanae Ridhiwani nchimi China baada ya kukutwa na dawa za kulevya.
Rais Jk amesema huo ni upuuzi na hawezi kuongelea upuuzi wa aina hiyo ambao ni uzushi usio na maana. JK pia amewaambia watanzania waishio marekani kuwa sio kweli kwamba kusainiwa mikataba 12 kati ya Tanzania na China ilikuwa ni sehemu ya masharti yaliyotolewa na China wakati wa kumuachia Ridhiwani.

0 comments:

Chapisha Maoni