Alhamisi, Agosti 14, 2014

ADNAN JANUZAJ APEWA JEZI YA GIGGS MAN U

Kiungo wa Manchester United Adnan Januzaj amepewa jezi ya lejendi wa timu hiyo Ryan Giggs namba 11 kwa ajili ya msimu ujao, lakini Louis van Gaal na imechochea tetesi za ununuzi wa wachezaji zaidi kwa kuacha namba muhimu 3 bila wachezaji.
United bado kumpa yeyote jezi namba 5 aliyoiacha Rio Ferdinand, huku jezi namba 7 na 9 zimeendelea kutokutumika. Inaaminika Louis van Gaal bado anatafuta wachezaji wengine kabla ya kuanza kwa msimu huu mpya.
Kwa kutumia mtando wa twitter klabu ya Man United imesema kwamba mchezaji yeyote mpya atakayesajiliwa kwa sasa atakabidhiwa namba ambayo kwa sasa ipo wazi.
Kwa sasa hizi ndizo namba watakazotinga Mashetani Wekundu msimu ujao:
1. De Gea;
2. Rafael;
3. Shaw; 4. Jones;
6. Evans;
8. Mata;
10. Rooney;
11. Januzaj;
12. Smalling;
13. Lindegaard;
14. Chicharito;
16. Carrick;
17. Nani;
18. Young;
19. Welbeck;
20. van Persie;
21. Herrera;
22. Powell;
23. Cleverley;
24. Fletcher;
25. Valencia;
26. Kagawa;
28. Anderson;
29. Zaha;
30. Varela;
31. Fellaini;
34. Lawrence;
35. Lingard;
36. Vermijl;
38. M Keane;
39. Thorpe;
40. Amos;
41. James;
42. Blackett;
45. Petrucci;
46. Rothwell;
48. W Keane;
49. Wilson;
50. Johnstone.

Namba 5, 7 na 9 zimeachwa bila mchezaji! ungependa nani asajiliwe na akabidhiwe namba ipi?

0 comments:

Chapisha Maoni