Alhamisi, Mei 08, 2014

ALICHOKISEMA RIDHIWANI KIKWETE BUNGENI JANA ALIPOPEWA NAFASI YA KUONGEA NA KUWAKONGA WASIKILIZAJI

Jana jioni kabla ya mwenyekiti wa bunge kuahirisha bunge mjini Dodoma wabunge wawili wapya katika bunge hilo walipata nafasi ya kuzungumza maneno machache na ndipo mbunge wa jimbo la kalenga mh Godfrey Mgimwa kutoka jimbo la Kalenga mkoani Iringa na mb. mpya wa jimbo la Chalinze mh Ridhiwani Kiwete wakaongea machache, lakini hapa ni Ridiwani Kikwete akiongea...

0 comments:

Chapisha Maoni