Jumatano, Aprili 16, 2014

NACTE SASA IMETOA MITAALA 17 KWA AJILI YA VYUO

Baraza la taifa la elimu ya ufundi -NACTE limetoa mitaala mipya 17 itakayotolewa kwa vyuo ili kuepuka hali ya sasa ambayo vyuo vinatumia mitaala tofauti na hivyo kutoa elimu yenye viwango vinavyotofautiana huku baraza hilo likifutia usajili vyuo 21 ndani ya miaka hii mitatu na kubakisha vyuo 372 vyenye usajili mpaka sasa.

0 comments:

Chapisha Maoni