Habari zilizotufikia punde zinaeleza kuwa ya Abiria 55 waliokuwa ndani ya Basi la kampuni ya Hood,
wakisafiri kutoka Mbeya kwenda Arusha walinusurika kufa baada ya Basi
hilo kushika moto na kuteketea kabisa katika kijiji cha
Kilolele-Chalinze Mkoani Pwani.
0 comments:
Chapisha Maoni