Mmoja wa watuhumiwa wa uhamiaji haramu akiwa amejilaza chini kutokana na kuwa na njaa huku akiwa na wenzake 45 ambao wote ni raia wa Ethiopia, nje ya jengo la ofisi ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa, mwishoni mwa wiki (Ijumaa). Watuhumiwa hao walikamatwa na polisi kwenye Kijiji cha Ruaha Mbuyuni, mkoani humo wakidaiwa kuelekea nchini Afrika Kusini.




0 comments:
Chapisha Maoni