Jumanne, Machi 11, 2014

NI VEMA UKAFAHAMU FAIDA ZA UNYWAJI MAJI MENGI KWA MWAPENZI WAFANYAO MAPENZI

Sote tunafahamu kuwa unywaji wa maji ni muhimu kwa afya zetu ndani na nje ya miili yetu. Kunywa maji kwa wingi sio tu hufanya ngozi yako kuwa nyororo, hukuongezea nguvu, husaidia kifuko cha mkojo kufanya kazi yake vema na kuepuka maambukizo yasiyo ya lazima kama vile "urine infections" n.k.
Unywaji huo wa maji pia hupunguza shombo ya sehemu zako nyeti hasa kama wewe ni mpenzi wa kunyonywa chini (wake kwa waume). Unapokunywa maji ya kutosha mkojo wako huwa msafi kama vile maji na huwa hauna harufu kali lakini ukinywa maji kidogo (si vya kusosha) mkojo wako huwa na harufu mbaya na kali.
Swala muhimu ni kujifunza kunywa maji kwa wingi kuliko vinjwaji vingine, na kwa wale wenye tabia ya kunywa bia au soda kila wanaposikia kiu inabidi wabadili mwenendo huo ikiwa wanapenda kuwapa wapenzi wao harufu-free wakati wanawashukia kule mahala au kunywa na kumeza Shahawa wakati kufanya mapenzi.

0 comments:

Chapisha Maoni