Jumapili, Machi 02, 2014

JACQULINE WOLPER MSAGAJI!!!

MWIGIZAJI Jacqueline Wolper, amesema anaumizwa sana na tetesi zinazozagaa kama moto wa kifuu kitaani kuwa anajihusisha na vitendo vya usagaji.
Akizungumza na mwandishi wetu kuhusiana na skendo hiyo, mwanadada huyo alisema, akiwa kama mwanamke anayejitambua na kumtukuza vyema Mungu wake jambo hilo limekuwa likimuumiza.
“Roho inaniuma sana kuhusiana na hizo taarifa sijui niongee nini ili jamii inielewe kile nitachokizungumza, ni ngumu sana kufanya hicho kitu ambacho najua hakimpendezi Mungu kivyovyote vile,” alisema Wolper.

0 comments:

Chapisha Maoni