Ijumaa, Januari 10, 2014

BAADA YA PENNY KUONA MAMBO HAYAENDI SAWA KWA DIAMOND, IMEBIDI ATOE SIRI KUBWA ALIYONAYO MOYONI...SOMA HAPA

MTANGAZAJI wa Kituo cha Televisheni cha DTV, Peniel Mungilwa ambaye alikuwa mpenzi wa zamani wa mwanamuziki nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnum’ amefunguka na kusema kuwa kamwe katika maisha yake haitatokea siku hata moja akamdharau au kumkashifu 'Diamond' ingawa hayuko nae kwa sasa
Akipiga akiongea na Fichuo Tz, Penny amesema japo kwa sasa ametofautiana na Diamond aliyeweka wazi kwamba yupo na Wema Sepetu hawezi kuwa na chuki dhidi yao.
“Naapa kwa Mungu wangu katika maisha yangu haitatokea kamwe nikamdharau Diamond, haijalishi yupo na nani kwa sasa, thamani yake kwangu itabaki palepale hamuwezi jua namheshimu kiasi gani yule mtu,” alisema Penny.

0 comments:

Chapisha Maoni