Habari zimethibitisha kwamba masalia ya viungo vya binadamu vilivyotupwa
maeneo ya Bunju yametoka chuo cha udaktari IMTU kilichopo Mbezi baada
ya wanafunzi kumaliza kutumia kwa mazoezi. Viungo hivi vilitupwa baada
ya mukosa pesa za kuteketeza kwenye tanuri maalum.
0 comments:
Chapisha Maoni