Jumatano, Januari 13, 2016

MESSI ATAMANI KUBADILISHA TUZO ZAKE NA KUWA KOMBE LA DUNIA KWA ARGENTINA

Mchezaji mashuhuri wa Argentina Lionel Messi ambaye amekuwa mchezaji wa kwanza kuwahi kushinda tuzo la Ballon d'Or mara tano, amesema kuwa angetamani kubadilisha tuzo hizo binafsi ziwe ushindi wa Kombe la Dunia kwa nchi yake.

0 comments:

Chapisha Maoni